Baada ya
kutokea kifo cha star wa Fast and furious "Paul Walker" nakuwarudisha
nyuma katika upande wa utengenezaji ambao ulikuwa ushaanza na star huyo
akiwemo, hatimae Universal imedondosha trailer ya movie hiyo
inayosubiriwa sana na mashabiki

Furious 7 inayotarajiwa kutoka tarehe 4.3.2015 ina mastar kamaVin Diesel, Paul Walker, Dwayne "The Rock" Johnson, Michelle Rodriguez, Tyrese, Jason Staham, Ludacris na Jordana Brewste.

"Furious 7" imemuonyesha imemuonyesha Paul Walker wakati wa mwisho aliposhoot movie hiyo kabla ya ajali iliyopelekea kifo chake November 2013.
Movie hiyo itaendelea ilipoishia ambapo Ian Shaw (Statham) akitafuta kulipiza kisasi dhidi ya Dominic Toretto (Vin Diesel) na crew yake kwa kifo cha kaka yake.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni