HUYU NDIO MSANII ANAYEMILIKI GARI HII YENYE RANGI YA DHAHABU, NA HAYA NDIO MAGARI YAKE MENGINE YA BEI MBAYA - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jumapili, 2 Novemba 2014

HUYU NDIO MSANII ANAYEMILIKI GARI HII YENYE RANGI YA DHAHABU, NA HAYA NDIO MAGARI YAKE MENGINE YA BEI MBAYA

1

Anaitwa Kcee  ni staa wa mziki kutoka Nigeria, inaaminika kua msanii huyu ni kati ya wasanii wachache sana wenye mkwanja mrefu kutoka Nigeria. Ndio msanii pekee kutoka Afrika ambae ameweza fanya kolabo na Nicki Minaj. Mpya kutoka kwa jamaa huyu ni gari yake mpya aliyonunua aina ya Cadillac Escalade ikiwa na rangi ya Dhahabu.

Hizi ni baadhi ya picha za gari na magari anayomiliki huku yote yakiwa ni ya gharama.
2
3
5

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa