Trump: Uchaguzi huenda 'ukaibwa' - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jumatano, 3 Agosti 2016

Trump: Uchaguzi huenda 'ukaibwa'



Mgombeawauraiskupitiachamacha RepublicannchiniMarekanisasaanasemakuwahuendauchaguzimkuuwaNovembaukakumbwanaudanganyifu.

Ameuambia mkutano wa hadhara mjini Colombus jimbo la Ohio kwamba amesikia mara nyingi kwamba uchaguzi huo huenda usizingatie maadili ya uwazi .

Hatahivyo hakutoa ushahidi wowote.

Bwana Trump ameshtumiwa kuhusu matamshi aliyotoa kuhusu wazazi wa mwanajeshi Muislamu aliyeuawa katika vita nchini Iraq.

Kuhusu uchaguzi ujao wa mwezi Novemba Trump amesema kuwa ana wasiwasi kwamba uchaguzi huo utafanyiwa udanganyifu.

Ameongezea matamshi kama hayo katika chombo cha habari cha Fox News akisema: Natumai wanachama wa Republican wako macho ama uchaguzi utaibwa.



ni kazi yangu kukujuza


Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa