Utajiri wa Chris Brown utatokana na Haterswake mwaka huu. - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Alhamisi, 21 Januari 2016

Utajiri wa Chris Brown utatokana na Haterswake mwaka huu.

Chris Brown asema mwaka huu atakuwa tajiri zaidi kwa kufungua kesi ya madai dhidi ya watu wanaosema uongo na kuchafua jina lake.Chris Brown amekuwa mkali mwaka huu baada ya kutangaza rasmi kuwa atapunguza kundi la watu linalomzunguka na kwamba atafungua kesi ya madaiya kuchafuliwa jina kila mara mtu atakapo sema uongo juu yake na kuchafua jina lake.“I’m going to be hella rich after all the lawsuits I file from these crazy individuals who keep lying on my name,” .Chris Brown amesema ataanza na mwanamke ‘ Liziane Gutierrez ‘ aliyedanganya kuwa kapigwa ngumi na Chris Brwon usiku wa mwaka mpya mjini Las Vegas na baadae kugundulika kuwa mwanamke huyu ni shabiki wa wasanii wengi na hufanya vituko pale anapokataliwa kuwa karibu na wasanii hawa.Aliwahii kumfanyia vituko msanii Jason Derulo.

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa