Trailer: Movie mpya ya Bongo "One Month Date" kutoka mwanzoni mwa mwezi ujao - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Alhamisi, 6 Novemba 2014

Trailer: Movie mpya ya Bongo "One Month Date" kutoka mwanzoni mwa mwezi ujao

Movie ya kibongo iliyotayarishwa na Paull Mashauri "One Month Date" inatarajiwa kuachiwa December 5
Paul mashauri ameangalia vipaji vya wasanii wengine ambao hawajawahi kuonekana katika movie tulizozizoea, na ndani yake amecheza mwanadada mjasiriamali anaekuja kwa kasi katika utengenezaji na uuzaji wa Ice Cream "Nelwa's Gelato", Mercy Kitomari. Angalia trailer hiyo hapa chini.

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa