Audio: Shetta akanusha kuwa na biff na Alikiba - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Alhamisi, 6 Novemba 2014

Audio: Shetta akanusha kuwa na biff na Alikiba

Msanii ambae tumezoea kuskia akifanya collable takriban kila ngoma ambayo amwahi kutoa, jana amejikuta akipokea maneno machafu kutoka kupitia kwenye mitandao ya kijamii, baada ya baadhi ya blogs kuandika kuwa ana bifu na Alikiba na hawezi kufanya  nae collable


 Leo hii Shetta ameonyesha kusikitishwa na kitendo hicho na kujitetea kuwa alipigiwa simu na mtanagzaji mmoja na kumuuliza kuhusu collable yake na alikina na ndipo aliposhtuka na kusema yeye hana colable na Alikiba na wala saa hii hana mpango wa kuwa na collable na msanii yoyote wa ndani wala wa nje


"Alikiba mi sina tataizo nae kabisa wala msanii yoyote Tanzania, lakini kitu ambacho nimekiona tangia jana na leo kwenye baadhi ya bogs na habari tofauti tofauti kwamba "angali shettah alichojibu baada ya kuulizwa collable na Alikiba" kwanza nianzie kwenye hiyo story, niliulizwa kwamba kuhusu collable lako na Alikiba, mi nikawa nimeshtuka sababu sina collable na Alikiba na sijafanya yaaani kabisa collable na Alikiba lakini nilichokijibu ni kwamba "Sijafikiria kufanya wimbo na msanii yoyote Tanzania kwa sasa hivi , nikatoa sababu, sababu nimefanya collable nyingi sana hapa ndani, kwahiyo nilichokijibu ni kwamba kiroho safi tu kwamba sifikirii kufanya kazi na msanii wa ndani labda nifanye na international artist kwasababu labda ya kunisongeza zaidi  zaidi mbele au nifanye wimbo peke yangu," amesema Shettah
Ofcourse kama inafika time nahitaji kufanya kazi na Alikiba na yeye yupo willing tutafanya wimbo, ameendelea kuongea Shettah,  lakini sijawahi kuhit au kutoka katika mziki wngu kwa kumsema mtu vibaya au kujaribu kuzungumza kitu kibaya ili ije iwe story watu wazungumze, kwahiyo nilichokijibu nilikuwa sawa kutokana na swali nililoulizwa, kwahiyo baada ya kuja kugeuka na zile headline zilizoandikwa kwenye blog mbalimbali, watu kuja kunitukana kuzungumza vibaya kwenye social network, kwenye page yangu, imekuwa tatizo, kwangu mimi si kitu kizuri yaani haijakaa vizuri kwa upande wangu.
msikilize hapa chini.
by djbenpaul.blogspot.com

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa