Picha: Raisi Uhuru Kenyata apanda daladala kutoka Ikulu mpaka KICC - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Alhamisi, 6 Novemba 2014

Picha: Raisi Uhuru Kenyata apanda daladala kutoka Ikulu mpaka KICC

Raisi wa nne wa Kenya Uhuru Kenyata amewaacha watu na surprise nyingine siku ya jana (jumatano) asubuhi baada ya kuamua kupanda matatu kuelekea KICC kwenye uzinduzi rasmi wa My 1964.
CEO wa Safari com Bob Collymore alipata heshima ya kupanda matatu hiyo na Raisi Kenyata kutoka Ikulu kuelekea katika uzinduzi ho.
My 1963 ni mfumo mpya ulioanzishwa na SafariCom ambao unapunguza matumizi ya pesa Cash kwenye daladala  
 





Haikuwa kama ambavyo imezoeleka kwa msafara wa maraisi kuonekana na magari mengi mengi yakimfata huku ulinzi ukiwa mkubwa, kwa Kenyata ilikuwa tofauti na desturi hiyo baada ya kuamua kupanda matatu kujionea mwenyewe jinsi mfumo unavyofanya kazi



Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa