Ijumaa iliyopita Damian Soul alizindua video yake "Ni penzi tu" aliyoshirikisha Joe Makini ndani ya Escape one.
Video hiyo imetengenezwa na Hefemi kutoka Hefemi Studios... tenga muda kidogo uaingalie hapa chini (bonyeza read more)
DamianSoul feat. JohMakini - NiPenzi from hefemistudios on Vimeo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni