Mwakilishi wa Kanye West akanusha picha ya list ya ngoma za album ijayo ya Kanye "Fake" - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jumanne, 11 Novemba 2014

Mwakilishi wa Kanye West akanusha picha ya list ya ngoma za album ijayo ya Kanye "Fake"

Baada ya siku ya jana kusambaa kwa covey inayoonyesha majina ya wimbo zitakazokuwepo kwenye album inayofata ya Kanye West "Paris" kusambaa kuwa zimevuja uongozi wakanusha.
Samahanini, majina ya nyimbo yanayosemekana kuwa ni ya album inayofata ya Kanye ni fake, amesema mmoja wa wawikilishi wa Kanye 
Ikiwa imeripitiwa na Billboard tracl list hiyo ilijumuisha majina kama

Lana Del Rey, Migos, Big SeanPusha T, Common, Teyana TaylorJay Z,Beyonce na wengine kibao (kilichoshangaza wengi ni kuwepo kwa chicago remix ya wimbo "All Day" ikiwa na Cheef Keef na  Rhymefest kwenye ngoma hiyo) 

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa