Muigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu na mtangazaji Penny
Muingila wamemaliza tofauti zao zilizodumu kwa muda sasa (chanzo kikiwa
ni mapenzi na Diamond) baada ya kupatanishwa na wanaemuita dada yao "Junaitha Pemba" siku ya jana.
Upatanisho wa wawili hao umefanyika
siku ya jana pale ambapo Junaitha alikuwa anasherehekea siku yake ya
kuzaliwa katika moja ya hoteli za kifahari jijini.
Penny. Junaitha na Wema Sepetu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni