Wataka sheria kuwaruhusu kujamiiana na wanyama - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jumapili, 21 Februari 2016

Wataka sheria kuwaruhusu kujamiiana na wanyama

Walalmishi wawili wameshindwa katika jaribio lao la kuishinikiza mahakama ya kikatiba nchini Ujerumani kuangazia madai yao dhidi ya sheria inayopiga marufuku kujamiiana na wanyama.Watu hao ambao majina yao hayakutajwa wanasema kwamba wana uchu na wanyama.Walitaka kuishinikiza mahakama hiyo iliopo Karlsruhe kufikiria iwapo sheria hiyo ni kinyume nakatiba.Hatahivyo mahakama hiyo ilitupilia mbali madai yao ikisema kuwa ni haki kwa sheria hiyo kuendelea kufuatwa.Mahakama ilisema kuwa kuwalinda wanyama dhidi ya unyanyasaji wa kingono ni jukumu la sheria ,ambayo haikubadilishwa kufuatia uamuzi wa mahakama hiyo.Sheria za kuwalinda wanyama nchini Ujerumani zimeweka faini ya $27,700 kwa wale watakaowalazimisha wanyama kushiriki katika tabia mbaya.

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa