California yakataa kondomu katika filamuza ngono - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jumapili, 21 Februari 2016

California yakataa kondomu katika filamuza ngono

Maafisa wa usalama kazini katika jimbo la California nchini Marekani wamepiga kura ya kutowalazmisha nyota wa filamu za ngono kuvaa mipira ya kondomu ili kuzuia kuenea kwa magonjwa ya zinaa.Wawakilisha wa filamu hizo walihoji kwamba mipira ya kondomu huenda isiwavutie wateja wao na hivyobasi kuharibu soko la filamu hizo.Wameonya kwamba uamuzi wa kuwalazimisha nyota hao kuvaa mipira ya kondomu huenda ukawalazimu nyota wa filamu hizo kuvaa miwani ya kuhifadhi macho pamoja na vifaa vya kuzuia meno.Wanaoshiriki katika filamu hizo hulazimika kupimwa magonjwa ya zinaa kila baada ya majuma mawili.Kura hiyo inajiri baada ya Hazina ya afya ya ugonjwa wa ukimwi kutaka idara ya maafisa wa usalama kazini mjini California kuweka sheria kali za kiafya katika viwanda vinavyozalisha filamu za ngono.Lakini wawakilishi wa filamu hizo wamesema kuwa iwapo nyota wa filaumu hizo watalazimishwa kuvaa mipira ya kondomu huendaikaathiri soko la filamu hizo.

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa