Mwimbaji kutoka Nigeria Kiss Daniel apata ajali mbaya,ilisababishwa na… - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Alhamisi, 14 Januari 2016

Mwimbaji kutoka Nigeria Kiss Daniel apata ajali mbaya,ilisababishwa na…

Mwimbaji wa wimbo wa Woju na Laye ‘Kiss Daniel’ ameelezea ajali aliyopata jana usiku kwa mashabiki wake kupitia instagram nakushauri watu wasitumie simu zao wakati wanaendesha gari.Kiss Daniel aliandika ”Usiguse simu yako wakati unaendesha gari,nimegonga gari jana usiku, asante kwa raia waliotusaidia kutoka kwenye gari, asante kwa washkaji zangu waliopiga kelele kabla hatujapata ajali”” Morning guys.. don’t press ur phone while driving fam, it’s never a good idea. Crashed into a canal last night @ lekki, all thanks to dese guys and some loyal fans that help get I and my producer out and the car…I wanna say a very big thank u to @djcoublon for screaming like a Yankee baby before the crash.. Bro u nailed it . We thank God, we still alive. So you heardit. Don’t text and drive ”

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa