Mwigizaji kutoka Zimbabwe anayeishi Marekani amechaguliwa kuigiza kama mama yake 2 Pac ‘AfeniShakur’ kwenye Filamu ya TupacAll Eyez On Me inayohusu maisha halisi ya 2 Pac.Danai Gurira anayeigiza kama Michonne kwenye show yaThe Walking Deadndio amepewa nafasi hii peke inayotegemewa kumn’garisha zaidi.Filamu hii itaonyesha maisha ya Tupac nyumbani na studio haswa baada ya kupata dili la kufanya kazi naDeath Row Records.
Post Top Ad
Responsive Ads Here
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Post Bottom Ad
Responsive Ads Here
Author Details
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni