Sababu ya Eminem kupiga chini dili la kutengeneza soundtrack ya Fast 7 ndio hii. - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Alhamisi, 14 Januari 2016

Sababu ya Eminem kupiga chini dili la kutengeneza soundtrack ya Fast 7 ndio hii.

Rapa 50 Cent amesema Eminem alikuwa msanii wa kwanza kupewa mchongo wa kuitayarisha soundtrack ya filamu ya Fast 7 “See You Again” kabla ya Wiz Khalifa.50 Cent anasema Eminem alikataa mchongo huo kutokana na kazi aliyokuwa nayo ya kutengeneza soundtrack ya filamu ya “Southpaw”.Kwa mujibu wa 123Bored.com Eminem alifanyiwa interview na Boomer & Carton radio nakusema “Nilipewa shavu la “See You Again,” ila milikata sababu nilikuwa natayarisha soundtrack ya filamu yaSouthpaw na dili lilikwenda kwa Wiz Khalifa na Charlie Puth ambao walifanya wimbo huo wa filamu ya Furious 7“.Wimbo wa “See You Again” ni miongoni mwa nyimbotano bora zaidi mwaka 2015 na sasa wimbo huu umetajwa kuwania tuzo za Grammy kama wimbo bora wa mwaka Wiz Khalifa Ft Charlie Puth “See YouAgain” > Grammy for Song Of The Year, pia umeshatazamwa na zaidi ya watu bilioni moja duniani.

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa