Barcelona hawakutaka Kaka amkabidhi Messi tuzo ya Ballon d’Or,walipendekeza majina haya. - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Alhamisi, 14 Januari 2016

Barcelona hawakutaka Kaka amkabidhi Messi tuzo ya Ballon d’Or,walipendekeza majina haya.

Jumatatu hii kwenye tuzo zaBallond’Ormchezaji wa Barcelona kutoka Argentina LionelMessi alipokea tuzo yake ya tano ya Ballond’Orkutoka kwenye mikono ya mwanasoka mkongwe Kaka.Imefahamika kuwa klabu yake yaBarcelona hawakutaka Messi apokee tuzo hio kutoka kwa Kaka kama angeshinda. Barca ilipendekeza majina ya Luis Suarez (the Spanish one who won theBallond’Orin 1960) naHristoStoichkov.Kakandio alikuwa mchezaji wa mwisho kushinda tuzo hii kabla hajaanza kushinda Messina Cristiano Ronaldo.

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa