Mafanikio ya Empire yasababishwa stori ya Think Like A Man iwe na tamthilia. - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Alhamisi, 21 Januari 2016

Mafanikio ya Empire yasababishwa stori ya Think Like A Man iwe na tamthilia.

Baada ya filamu ya Think Like A Man kuwa na mafanikio makubwa sasa kituo cha Fox kimeweka wazi mpango wa kutengeneza series ya show hii.Mtandao wa Deadline umeripoti kuwa Fox wanatayarisha Think Like A Man show na mtayarishaji wa show hii atakuwa Steve Harvey ambaye aliandika vitabu ambavyo vilitumika kutengeneza filamu hizi mbili za Think Like a Man.Director na producer wa filamu hizo Will Packer nayeatahusika.Deadline wanasema mafanikio ya show ya Empire ni miongoni mwa sababu za kufikiriwa kuanzishwa kwashow hii ya Think like a man. Filamu ya kwanza ya TLAM ilitengeneza dola milioni 91.5 huku bajeti yake ilikuwa dola milioni 12 na filamu ya pili ilitengeneza dola milioni 65.

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa