Beef,Rick Ross asema njoo kama unaweza,ni Baada ya Birdman kusema atamuibukia Rozay, - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Alhamisi, 21 Januari 2016

Beef,Rick Ross asema njoo kama unaweza,ni Baada ya Birdman kusema atamuibukia Rozay,

Wakati Meek Mill ana beef na 50 Cent, bosi wa Maybach Music Rick Ross anaendeleza beef yake na boss wa Cash Money records ‘Birdman’.

Hivi karibuni Lil Wayne na Cash Money Records bossBirdman walimaliza tofauti zao walivyokutana mjini Miami na Birdman alisema hajasahau diss ya Rick Ross kwenye wimbo wake wa “Color Money” uliopo kwenye album yaBlack Market.

“Color money got you bitch out on a world tour / My lil homie made a million on his girl tour,We back to back and down to whack a ni**a unborn / Miami ni**as got them changing all the gun laws / So run Forrest got some shooters and they dying too / I got more money than that p***y that you’re signed to.

”Kwenye video mpya ya Rozay kwenye mtandao wa snapchat alisema “Them nias kiss and they made up, “Fuck nias wanna hit me / Fuck, nia, come get me/ Pussy nias ain’t wit me.”.

Beef inaendelea.

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa