Chris Brown azungumzia jinsi kuwa baba kulivyobadilisha mtazamo wake kwa wanawake. - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Alhamisi, 21 Januari 2016

Chris Brown azungumzia jinsi kuwa baba kulivyobadilisha mtazamo wake kwa wanawake.

Staa wa Rnb aliyekuwa anajiachia na kula bata weekend hii alikutana na mapaparazzi na kuulizwa kuwa je yeye na Keith Sweat nani ni mjanja zaidi katika kuwauza wanawake ‘Pimpin’.Chris Brown ambaye hivi karibuni wimbo wake wa ‘Who’s Gonna (Nobody)’ Remix umepata Intro kutokakwa Keith Sweat alisema kuwa baba kumembadilisha kabisa.“Chris Brown anasema amebadilika sana toka awe baba na kwamba anaheshimu na kupenda sana wanawake”.

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa