"Tangu kuundwa kwa internet,
imekuwa ikiendeshwa kwa kanuni za uwazi, usawa na uhuru wa kutumia,
hakukuwa na get keepers kuamua tovuti gani uingie. kuziacha kanuni hizi,
zinatishia kuondoa internet kama tunavyoijua"
Raisi Barack Obama
ametoa wito kwa tume ya mawasiliano (Federal Communicatons Commision)
kufanya chochote wanachoweza kulinda usawa wa matumizi ya internate kwa
kila mmoja, waweke wazi kuwa iwe unatumia computer,
simu au tablet, providers wa internet wanajukumu halali la kutokuzuia au kupunguza access yako kwenye website, kampuni za cable haziwezi kuamua online store gani unaweza kununua vitu kutoka kwao au huduma gani ya streaming unaweza kuitumia........

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni