Story kuhusu kuvunjika kwa ndoa ya wasanii Nameless na Wahuu (Kenya) ilitawala sana siku ya jana katika mitandao mbali mbali, baada ya blog
moja kudai kuwa wasanii hao ambao wameoana kwa muda mrefu sasa
wanapeana talaka. sababu za kufanya hivyo, ni mtoto wao ambae blog hiyo
imedai kuwa sio wa Nameless bali ni wa mwanaume mwingine
Mapema leo hii nameless ameonyesha kusikitishwa na blog iliyotoa habari
hiyo mbaya ambayo haina ukweli wowote ili kujipatia trafficna zaidi
ikimuhusisha mtoto wake mdogo
na hiki ndicho alichokiandika Wahuu

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni