Salama Jabir ku-host kipindi cha "Tujuane" akiwa na mtangazaji wa kenya "Malonzi - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jumanne, 11 Novemba 2014

Salama Jabir ku-host kipindi cha "Tujuane" akiwa na mtangazaji wa kenya "Malonzi

Mtangazaji wa kipindi cha Mkasi , Salama Jabri soon ataanza kuonekana ndani ya kipindi cha televisheni cha Kenya kinachotarajiwa kuanza kuonekana East Africa "Tujuane" akiwa na mtangazaji mwenzake Malonzi 
Kipindi hicho kinachohusu mahusiano hasa kwa wale wanaotafuta mahusiano, kitakuwa kinaruka kupitia Dstv, Maisha Magic channel 161

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa