Kufatia Siku yake kubwa ya kuzaliwa iliyofanyika siku mbili zilizopita
mwimbaji kutoka Nigeria, Iyanya, aliachia wimbo mpya "Finito" ajili ya
mashabiki zake

Na leo hii ameamua kuachia video ya wimbo huo, inayomuonyesha yeye na crew yake wakicheza the best dance moves kutoka Nigeria. Video hiyo imetengenezwa na Maleek Berry na kuongozwa na video director kutoka Zimbabwe, Teekay.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni