Angalia alichokiandika Ray C - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jumatano, 5 Novemba 2014

Angalia alichokiandika Ray C

Mwanamziki Reheme Chalamila a.k.a Ray c ambae alikuwa kimya sana kutokana na kujihusisha na madawa ya kulevya ametoa habari nzuri kwa ajili yako

Kupitia Acc yake ya facebook Ray C ameatangaza kutambulisha single yake mpya "mshum mshum" muda wowote kuanzia sasa

Napenda kuwajulisha masabiki kuwa kuania sasa muda wowote, saa yoyote, dakika yoyote wakati wowote, siku yoyote kuanzia sassingle yangu mpya mshum mshum/ walimwengu itaanza kuskika kwenye simu zenu na kwa wale wapenzi wa mitandao kama mimi ya facebook, twitter, instagram,google, youtube, blogsna website mbali mbali mtaweza...... kwa mashabiki zangu wa ndai na nje ya nchi mlichokuwa mkisubiri tayari kimeshamalizwa!!!! kazi kwenu.........stay tuned for more info......love you guys.........mmmmwaaaaaaa!! miss my beautiful voice too......I just can't wait to sing livefor you guys1.

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa