Victoria Kimani kudondodha "Show" tarehe 18 - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jumamosi, 15 Novemba 2014

Victoria Kimani kudondodha "Show" tarehe 18

Mwanadada Victoria Kimani kutoka 254 Kenya, anatarajia kuachia mdundo mpya baada ya prokoto alioufanya na Diamond na Ommy Dimpoz
Soooo #TeamKimami ..... MY NEW SINGLE WILL BE OUT TUESDAY NOV. 18TH !!! #SHOW #GetReady ������
Ngoma hiyo aliyoipa jina la "Show" anatarajia kuiachia tarehe 18 ya mwezi huu. Inavyoonekana ameshoot video hiyo kwenye mapango..angalia picha chini 

Coming out the cave babyyyy New Single drops NOV. 18th .... #SHOW

My favourite photo shoots are in the wild nature .... lets go far to paint this picture.... Thank you to this amazing photographer @radekartphoto for my new pictures ! Can't wait for you guys to see them all #ParadiseLost#Kenya #SHOW New single out NOV 18th ��

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa