Mshiriki wa BBA 2014 Laveda kwa mara
ya kwanza amezungumza na soso fresh ya Clouds Fm inayoongozwa na Fetty
na kufunguka juu ya story zilizopo mtaani zinazodai kuwa mshiiriki
mwezake kutoka Bongo Idris alikasirishwa na kitendo cha kumkuta
akijichua mara baada ya kupiga mitungi live kupitia runinga za Africa
Laveda amesema kuna miss information kubwa sana kwenye media, hasa pale mtu anapoongea kila mtu anakuwa anadaka yale madai anayoongea na kusema kuwa Idris alikasirishwa na msichana mwingine na wala haikuwa yeye aliemkasirisha.
unajua pale BIg Brother
wanakuwa wanaficha brands zote sasa sijui labda kuongea kuhusu vivutiio
ya nchi yangu na pia kuongea na ma housemate wangu kwamb abaada ya big
brother tutafanya hivi na hivi because i was so impressed ..........so i
think ile pia imecheza
msikilize zaidi hapa chini
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni