Tyga asaini dili na x wa Drake na kumshika makalio kumuudhi - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jumamosi, 15 Novemba 2014

Tyga asaini dili na x wa Drake na kumshika makalio kumuudhi

Tyga ameendelea kuwasha moto juu ya ugomvi wake na Drake kwa kumshika makalio aliekuwa girlfriend wa Drake na kumsaini kwa ajili ya kufanya nae Video ya wimbo wake mpya.
Chanzo kilichokuwepo kwe dili hilo kimesema kuwa, Tyga alimuaomba Dollicia Bryan kutokea kwenye video ya "Make it Work" hasa kwasababu wimbo huo una mashairi yanayomchana Drake 

 "Ni**a never was my homey ... all these bitches know you corny ni**a."


Drake alionekana aki-flirt na mama mtoto w Tyga Blac Chyna kwenye mitandao ya kijamii kwa mda sasa haishangazi kuona Tayga kaamua kumuomba Dollicia 

In fact,TMZ wameambiwa kuwa Tyga amemwambia wazi Dollicia anamtumia kumchukiza Drake... na akakubali kutumia nafasi hiyo.


Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa