P The MC na Zaiid leo hii wametambulisha wimbo wao mpya "Happy Birthday Wack" unaopatikana kwenye the next mixtape itakayotoka mwishoni mwa mwaka huu "Mwenge KIwalani" ndani ya so so fresh na fetty.
Wimbo huo ni wa pili kutoka baada ya single ya kwanza "Old School vibe" na haya ni baadhi ya mashairi yaliyomo kwenye wimbo "Happy Birthday Wack"
watoto na wakubwa wamejaa kwenye party, mi nimekuja na mishumaa na
nimeshapiga simu kumuita paparazi, habari zote aende kuzianika waziwazi,
hutaki hiphop upo kwenye beats za viduku, unataka pesa za machipsi na
makuku, then unadai sisi haituhusu, umepanga kukusanya mashabiki kama
buku, nimeleta supra suruali kichupa mnaitaga jeans modo, kishati cha
duka mbele kimeruka halafu ni cha pink kidogo, kilikuwa plain nikaona
mzuka mbele niki-print logo, nimekiandika Swag ili unaponyuka unatembea
unaswing kwa mikogo........ isikilize hapa chini kwa kubonyeza "read more"

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni