Kim Kardashian ameonekana akiwa na mumewe Kanye West siku ya jana Monday, November 9, LA akiwa amebeba Hermes pochi iliyopakwa na kuchorwa rangi na mtoto wao North
Kardashian 34, mwanzoni aliiambia US weekly, mwezi uliopita kwenye birthday yake kuhusu kitu kilichopambwa na mtoto.
"Kanye alikuwa na box (lilikuwa na pochi ya Hermes) na nikaifungua, ilikuwa imechorwa vizuri sana na kwenye computer yangu kulikuwa kuna message inayosema "Play" na ilikuwa ni video ya mtoto wangu akia amekaa nje akiipaka rangi pochi hiyo.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni