Baada ya kupitia misuko suko ya hapa na pale katika kukamilisha
utengenezaji wa video ya wimbo wake "Ni Penzi" ikiwa ni pamoja na
mtayarishaji kuondoka na pesa zake (hakutaka kuongelea), video hiyo
imekamilika kwa sasa
Damian
anatarajia kuzindua vudeo hiyo ambayo imefanyika hapa hapa bongo
location za oysterbay na masaki na kuhusisha wabunifu kutoka bongo
kuwavalisha katika video hiyo, Ijumaa hii ndani ya Escape 1, huku
akiahidi uwepo wa wasanii wengine kutoka nje ya Tanzania.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni