Nicki Minaj awashukia wanaoponda video yake ya "Anakonda" - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jumanne, 11 Novemba 2014

Nicki Minaj awashukia wanaoponda video yake ya "Anakonda"

Mwanadadiva wa YMCMB Nicki Minaj ameamua kuwashukia wale wote waliomponda juu ya mavazi aliyoyatumia ndani ya video ya wimbo wake "Anakonda" ambao inaonyesha wazi maungo yake na wachezaji wake kwa asilimiakubwa.
Minaj ambae ameongea na jarida la V ambalo linatarajiwa kutoka November 13 amesema "Kama ingekuw ni mwanaume amefanya vile kama nilivyofanya akiw na warembo kama vile hakuna mtu ambae angejali."
 
Watu wa habari hawajui chochote kuhusu utamaduni w Hiphip na ni ukosefu wa heshima hata kutoa maoni juu ya kitu wasichokijua, mbona hawaemi chochote pale ambapo wanakuwa wanaangali shows za Victoria Secrets (mbunifu wa mavazi ya ndani ya kike) na wanaona matiti na vichupi, hii ni aibu kwao, kwa kuzungumzia "Anakonda" na sio bishara zingine zinazohamasisha ngono."
Nicki Minaj ndio  aliebeba cover ya jarida hil.

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa