Familia ya msanii wa zamani wa Bad Boys Records Loon ambae kwa hivi sasa anajulikana kama Amir
Junaid Muhadit wameomba kusaidiwa kuondokana na mzigo mkubwa waliubeba
wa kihisia pamoja na kifedha kutokana na kukamatwa kwa Rapper huyo 2011
Mwaka 20011 Loon alikamatwa nchini Belgium baada ya kujaribu
kuingia nchini humo baada ya kushtakiwa kwa kujihusisha na usafirishaji
wa madawa ya kulevya kaskazini mwa Carolina mwaka mmoja kabla.
Kukamawa kwake kumempelekea kupewa ifungo cha miaka 14 numa ya nondo. katika recording aliyoifaya akiwa jela mwaka jana Loon alielezea kiundani mashatka yake aliyoshtakiwa
“I also want to explain to you in detail, the detail of the charges I was charged with and the federal indictment
from the Eastern District of North Carolina which was the conspiracy
charge, which I was charged with,” Loon said in the recording.
“Conspiring to possess with intent to distribute…If someone was to call
you on the phone and make statements engaging in some form of illegal
act, the moment that you answer that persons question or answer that
person in general, automatically
that falls underneath the umbrella of conspiracy. That means at that
point you are conspiring to join that individual…to do something
illegal.”
Tangu
kufatia kukamatwa kwa Amir, familia yake imekuwa ikipitia majaribu
mengi kuanzia kusimamishwa kwa acc za benki, kunyimwa haki ya makazi
Marekani, kutokea katika mahakama za marekani kupigania makazi
“Having
shared some of the few issues the family has faced since Amir’s
incarceration and with Amir been sentenced to 14years in Prison this
month we turn to you to asist the family & children of Amir from
this trail,” the family said in a letter posted on their FundRazr website. “We ask you today to relieve the financial and emotional burden the family is suffering….” wameandika familia ya Loon
Familia ya Loon imefanikiwa kuchangisha dola 11,000 tangu walipoanza kuchangisha online mwezi wa saba mwaka jana.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni