Tyga na mdogo wake Kin Kardashian, Kylie Jenner wameshindwa kulificha penzi lao licha ya Taygamara kadhaa kukataa kujihusisha kimapenzi ma mschana huyo mwenye miaka 17.
Rapper huyo mwenye miaka 25, ameendelea kusisitiza kutokuwa na uhusian
wa kimapenzi na Kylie, lakini kumekuwa na moshi mwingi unaofuka kiasi
cha kujulisha kuwa lazima kuna moto unawaka mahali.
Wiki iliyopita story zilitoka kuwa Tyga alikataa kutokea katika moja ya
club aliyokuwa akitakiwa kufanya show baada ya Kylie ambae ana miaka 17
kukataliwa kuingia club hiyo kutokana na miaka yake
Sasa angalia video hii ikimuonyesha Tyga na Kylie ambae ana nywele za blue wakiwa L.A Mission, waigawa chakula kwa wasiojiweza.
Sasa angalia video hii ikimuonyesha Tyga na Kylie ambae ana nywele za blue wakiwa L.A Mission, waigawa chakula kwa wasiojiweza.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni