Ikiwa zimepita siku kadhaa tangu Staa Kim Kadarshian
kukaa kwenye headlines kutokana na picha zake zikimuonyesha akiwa tupu
kuzagaa kwenye mitandao, staa mwingine tena huenda akaingia kwenye trend
ya #BreaktheInternet.
Kwenye ukurasa wa Rapa Wiz Khalifa ameweka picha inayomwonyesha akijimwagia maji kichwani huku akiwa mtupu ndani ya bafu.
Bado haijafahamika kama amefanya hivyo kama njia ya kuyatangaza maji hayo au ana maana ipi.
Hakuna
story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote
kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni