Wale mliozoe kusema " sijaona message yako au "basi itakuwa sijaisoma"
kwasababu hakukua na chochote kinachomuonyesha mtumaji umesoma basi
mmekomeshwa na "Whatsapp" safari hii.
Sasa hivi kila ujumbe
utakaopokelewa na kusomwa kupitia whatsapp utaonyesha alama ya tiki
mbili za blue ikimaanisha ujumbe umefika na umeshasomwa, ukilinganisha
na zamani, ujumbe ulikuwa ukitumwa kama haijafika unaonyesha tiki moja,
ukifika unaonyesha tiki mbili lakini haionyeshi kama ujumbe umesomwa au la.
Kama aimu yako inaji upodate mar akwa mara utakuwa ushaona mabadiliko haya na kama bado fanya ku update whatsapp yako sasa.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni