Kuna wasanii wengi ambao waliendelea kutengeneza mkwanja mrefu hata
baada ya kufariki, lakini hawajafanikiwa kuingia katika list hii
iliyotolewa na Forbes, mmoja wapo akiwa ni Tupac Shakur
Imepita miaka mitano tangu alipofariki mkali wa miondoko ya pop, Michael
Jackson lakini ameendelea kuingiza mkwanja mrefu kila mwaka tangu
alipofariki
Mwaka huu hauna tofauti. Tangu ilipoachiwa album yake mpya Xcape, King
wa Pop ameshikilia list kwa nafasi ya kwanza kwa kuingiza dola milioni
140 kwa mwaka huu
mkwanja mwingine bado unaingia kutoka sony/ATV Publishing Empire na
Mijac catalogue pamoja na cirquel du soleil shows zake - Immotrtal (moja
ya top 10 grssing tour of all time) na parmanent show ya Lasvegas.
"Watoto ambao hawakukua na Michael Jackson sasa wanamjua kupitia show
hizo mbili" amesema Director wa show hizo, Jamie King, kwenye moja ya
interviews. "Spirit yake bado ipo na sisi na muziki wake utaishi milele
anaefatia katika list hiyo ni King mwingine - Elvis Presley, ambae ameingiza dola milioni 55 ambae alifariki August 16 1977. Bob
Marley amefunga top 3 kwa kuingiza dola milioni 20 mwaka huu, na
kufikia kuongeza dola milioni 2 kutoka milini 18 alizoingiza 2013 na
kumfanya kuwa mmoja wa wanaounda list hii ambao mapata yao hayawi sawa
kila mwaka wala kupungua.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni