Kijana wa miaka 17 aliyehukumiwa miaka 241 jela - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Ijumaa, 30 Machi 2018

Kijana wa miaka 17 aliyehukumiwa miaka 241 jela



Makosa ya kutumia bunduki akiwa chini ya umri wa chini ya miaka 18 yaliyosababisha kupoteza maisha ya watu kadhaa kuliharibu maisha yake kabisa baada ya kuhukumiwa jela miaka 241.
Bobby Bostic ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 39 amezungumza na Jarida la New York Times na kueleza jinsi gani kuiba kwa kutumia risasi akiwa mtoto kumemfanya akae jela hadi kufa kwake.
Bostic ambaye alizaliwa St Louis, Missouri nchini Marekani ameeleza kuwa alikuwa na umri wa miaka 16 alipofanya makosa 17 na kumsababshia mahakama kumpa miaka 241 jela ambako anatarajia kumaliza kifungo hicho mwaka 2091 akiwa na miaka 112.

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa