Hatimaye ndege ya Tanzania ilyokuwa inashikiliwa Canada imeachiwa - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Ijumaa, 30 Machi 2018

Hatimaye ndege ya Tanzania ilyokuwa inashikiliwa Canada imeachiwa


Taarifa ya leo March 30, 2018 ni kwamba ndege aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa imezuiliwa nchini Canada tangu mwaka 2017 imekwisha ondoka Canada kuja nchini Tanzania.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Gerson Msigwa ameeleza kuwa ndege kubwa nyingine 3, ambazo ni 2 aina ya Bombardier CS300 na 1 ambayo ni Boeing 787-8 Dreamliner.
Ndege hizo za Bombardier ni za kutoka nchini Canada huku Boeing 787-8 ikitokea Marekani. Ndege zote zitawasili nchini siku za mbeleni mwaka huu 2018.

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa