Rais wa Tanzania Mh John Pombe Magufuli Awaagiza Tanesco Kukata Umeme Ikulu...!!! - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jumatatu, 6 Machi 2017

Rais wa Tanzania Mh John Pombe Magufuli Awaagiza Tanesco Kukata Umeme Ikulu...!!!

Rais wa Jamhuri ya Munngano wa Tanzania Mh Dr John Pombe Magufuli ametoa agizo kwa uongozi wa tanesco kukata umeme kwa Wizara au taasisi yoyote inayokwepa kulipa bili za umeme.

Mh Rais ameyasema hayo leo katika ziara yake ya kuzindua na kuweka jiwe la msingi katika mradi wa umeme wa msongo wa Kv 132 Mtwara " Tanesco pasitokee taasisi ama Wizara hata Ikulu isipolipa umeme we kata tu, hatuwezi kujiendesha kwa hasara wakati kuna watu wanakwepa kulipia gharama" wakati serikali inatoa ruzuku zake humu sasa ni wakati Tanesco ijiendeshe kwa faida.

Aidha Mh Rais ameonya tanesco kutoingia mikataba ya hovyo na makampuni ya nje yanayokuja kwa ujanja na alisema kampuni ikitaka kuja kuwekeza umeme nchini basi waje wazalishe umeme wao na wauze tanesco na wasitegemee umeme huu kufanya ujanja ili kutorudia mikataba mibovu kama symbion na makampuni mengine


Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa