Rais wa Marekani Barack Obama amemshambulia vikali mgombea wa chama cha Republican Donald Trump akisema kuwa hana uwezo kuwa rais.
Obama alitaka kujua ni kwa sababu gani chama cha Republiban kinaendelea kumuunga mkono bwana Trump.
Alisema kuwa kinyume na wagombea wengine wa zamani wa Republican, bwana Trump hana uwezo wa kushika wadhifa mkubwa zaidi duniani.
Trump alijibu kwa kumlaumu Obama kwa uongozi mbaya.

ni kazi yangu kukujuza
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni