Marudio ya uchaguzi Z'bar kuikosesha TZ Trilioni 1 - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jumatano, 30 Machi 2016

Marudio ya uchaguzi Z'bar kuikosesha TZ Trilioni 1

Sheria ya matumizi ya mitandao 'Cyber Crime Act ya mwaka 2015' pamoja na kurudiwa kwa uchaguzi wa Zanzibar kumefanya Marekani kupitia kwa shirika lake la ufadhili kutangaza kuzuia misaada yake ya kimaendeleo nchini yenye thamani ya dola 472.8 milioni


Kwa mujibu wa taarifa ya Bodi ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) imesema Tanzania haijatimiza viwango vinavyohitajika ili kunufaika na ufadhili kutoka kwa shirika hilo.Mambo yanayolalamikiwa na shirika hilo ni pamoja na serikali kutochukua hatua za kuhakikisha kuwa wananchi wanakuwa na uguru wa kujieleza pamoja na utekelezwaji wa sheria ya uhalifu wa mitandao.Aidha MCC imesema huwa inazingatia na kutilia mkazo demokrasia na kujitolea kwa nchi ili kufanikisha uchaguzi uwe huru na wa haki.Fedha ambazo zimekuwa zikitolewa na MCC zimekuwa zikisaidia miradi mbalimbali ya kimaendeleo maji, umeme na barabara hasa maeneoya vijijini ambapo kwa awamu ya kwanza serikali ilipokea Dola 698.


Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa