Hii ni ya kuleta revolution kwenye game - Crazy GK - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jumatano, 30 Machi 2016

Hii ni ya kuleta revolution kwenye game - Crazy GK

Msanii mkongwe wa rap bongo Gwamaka Kaihula 'King Crazy GK', amefunguka kuhusu elimu aliyokuwa anasoma, ambayo imemfanya kukaa nje ya game kwa muda mrefu.


Crazy GK amesema elimu hiyo hajaichukua ili aende akaajiriwe, bali anataka kuitumia kwenye sanaa yamuziki na kuufanya ufike mbali zaidi na hatimaye kukamilisha ndoto zake.“Sasa hivi tunaconcetrate katika music, kama ni elimu tumezipata tunapeleka katika music, sio kama tunasoma tuende maofisini tena tukaajiriwe no! Ni kwenye music, kuleta revolution kwenye music, tunapeleka vitu kwenye next level, its a dream, a big dream kama mtu akiona kwa karibu anaweza akasema”, alisema GK.Pia GK ameongelea kitend ambacho mara nyingi amekuwa akitangaza kurudi kwenye game na kukaa kimya na kwamba mpango wake wa sasa ni kufanya kimya kimya bila kelele za media, na kuacha vitendo viongee vyenyewe.“Ninapoongea sana kwenye media nakuwa naongea vitu watu wanakuwa wanasubiria wanasubira, sasa hivi ni talk less, do more! Let action ndo zispeak louder”,alisema GK.


Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa