Kama unatumia mtandao wa instagram haya ndio mabadiliko mapya…. - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jumatano, 30 Machi 2016

Kama unatumia mtandao wa instagram haya ndio mabadiliko mapya….

Najua nina watu wangu ambao ni watumiaji wazuri sana wa mitandao ukiwemo mtandao wainstagramambao umekuwa ukitumiwa na  watu mbalimbali kama mtandao wa kupost picha au video ya kitu fulani.Sasagood newsniliyoipata muda huu ni kwamba moja kati ya kitu kilichoboreshwa kwenye mtandao huo ni kwenye upande wa video ambapo kwa mara ya kwanza mtumiaji alikuwa akipost video yenye sekunde 15 lakini leo maboresho yaliyofanywa makubwa ni kwamba mtumiaji wa mtandao huo atakuwa anaweza kupost video yenye dakika moja tubadala ya sekunde 15.


Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa