Ni mwaka sasa umepita toka tumesikia wimbo mpya kati ya Chris Brown na Tyga kutoka kwneye album yao yaFan of a Fan: The Album. Tyga na Chris wamekutana tena kwenye collabo ya wimbo wa Tyga“Rumorz” kutoka kwneye mixtape yaRawwest NiggaAlive.
Bonyeza hapo chini.
Chris Brown - Rumors ft. Tyga: http://youtu.be/7gMnRaeevNI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni