Jakaya Mrisho Kikwete ateuliwa kuwa ‘Chancellor’ wa UDSM. - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jumamosi, 23 Januari 2016

Jakaya Mrisho Kikwete ateuliwa kuwa ‘Chancellor’ wa UDSM.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaDkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (Chancellor of the University of Dar es salaam).
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue Ikulu Jijini Dar es Salaam, imeeleza kuwa uteuzi huo umeanza tarehe 17 Januari, 2016.

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa