Hivi unajua kwanini Will Smith hatukani kwenye nyimbo zake,sababu iko hapa. - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jumamosi, 23 Januari 2016

Hivi unajua kwanini Will Smith hatukani kwenye nyimbo zake,sababu iko hapa.

Kwenye interview aliyofanyiwa mwaka 2015 rapa Will Smith alisema “Nilianza kupenda na kutaka kurap nikiwa na miaka 12,nilianda kuandika mashairimwaka huo kwenye kitabu changu kidogo

”Kwanini Will Smith hajawahi kutukana kwenye nyimbo zake ?

“Bibi yangu alikuta kitabu changu cha mashairi na kusoma baadhi y nyimbo zangu,hakusema lolote ina alichukua kitabu hicho na kuandika nyuma kabisa kwenye kurasa ya mwisho >Dear Willard ‘Truly intelligent people do not have to use words like this toexpress themselves. Please show the world that you’re as smart as you think you are’ akimaanisha watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiria hawatumi maneno kama haya kuelezea mitazamo yao, tafadhali onyesha dunia unaakili kama unavyofikiria“

.Toka siku hio sikuwahi kupanga kutukana kwenye muziki wangu.

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa