Msanii wa Rap Tanzania "Farid Kubanda" A.K.A Fid Q, ameachia video ya wimbo wake " Bongo Hiphop" siku ya jumapili ndani ya Club Bills. Video hiyo ambayo imetengenezwa na Director Nisher kutoka Arusha, inamuonyesha Fid kwa mbaali kama ametupia Lipstick flani hivi au lip Gloss ya rangi flani ya purple....Tazama video hiyo hapa chini. its more about music industry and social issues in and out of bongo land - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jumanne, 3 Machi 2015

Msanii wa Rap Tanzania "Farid Kubanda" A.K.A Fid Q, ameachia video ya wimbo wake " Bongo Hiphop" siku ya jumapili ndani ya Club Bills. Video hiyo ambayo imetengenezwa na Director Nisher kutoka Arusha, inamuonyesha Fid kwa mbaali kama ametupia Lipstick flani hivi au lip Gloss ya rangi flani ya purple....Tazama video hiyo hapa chini. its more about music industry and social issues in and out of bongo land


Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa