Azuiliwa kusafiri Syria kujiunga na IS - MKWELI BLOG

Karibu kwenye kitovu cha HABARI.

PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA KILA KONA YA DUNIA NA MAGAZETI KWA WAKATI UKIWA KARIBU NASI

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jumatano, 18 Machi 2015

Azuiliwa kusafiri Syria kujiunga na IS

Brian de Mulder mmoja wa vijana waliojiunga na kundi la islamic state kutoka ubelgiji        

Mvulana mwenye umri wa miaka 16 nchini Uingereza amepigwa marufuku kusafiri nje ya nchi hiyo kutokana na hofu kwamba huenda akaenda kupigana kama mwanajihadi Syria.
Kakazake wakubwa wawili wameuawa wakipigana katika kundi la Nusra Front -- kundi la waasi wenye itikadi kali za kiislamu linalohusishwa na Al Qaeda.
Jaji mmoja London, alitoa agizo hilo la mahakama kutokana na ombi la maafisa wa serikali waliosema wanataka kumlinda asiuawe.
Jaji huyo alieleza mahakama kwamba wanaume wa familia ya kijana huyo ambao wanatoka Libya, wamejihusisha kikamilifu kupigana jihad Syria, na mamake amechoshwa kwa huzuni.           

Hakuna maoni:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Kurasa