Wasanii wa hiphop wanaounda kundi la weusi wameahirish akufanya tamasha lao mkoani Mbeya baada ya kutokea kifo cha rapper Geez Mabovu
Weusi walitarajia kufanya tamasha hilo la funga mwaka November 14 ndani
ya City Pub, mkoani mbeya lakini kwa mujibu wa kilichoandikwa na msemaji
mkuu wa kundi hilo, Nikki wa pili, halitafanyika ili kupisha msiba huu
Kumbuka Mabovu alikuwa ni mshakji wake na Joe Makini na hata walifanikisha kufanya collable kadhaa zikiwemo "Nilikotoka" iliyofanyika 41 Records na nyingine iliyofanyika Bongo Records
nae G nako aliandika kupitia acc yake Insta



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni