Rapper 50 Cent na Snoop Dogg ambao wanajulikana kwa comments kuhusu mambo yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii wamejikuta wakimcheka Wiz kwa kupost picha yake akiwa na nywele za rangi ya purple
Picha hiyo walioipost kupitia mtandao wa IG, inamuonyesha Wiz akiwa na
dread za rangi ya purple (aliyoipost mwenyewe mwezi mmoja uliopita) na
kuiambatanisha na picha ya mbwa akiwa amevikwa kofia ya soksi yenye
rangi kama za nywele yake.
Snoop alipost pich ahiyo kutoka kwenye acc ya mtumiaji anaejiita Swankitsalifestyle" na kuandika
"Swank u wrong for this hahahahah!!"
Na 50 nae akapost picha hiyo ikiambatana na maneno haya
Wiz alipost picha yake ikiwa anaonyesha rangi ya nywele aliopaka kwenye deards zake mwezi mmoja uliopita kabla ya kupost zingine kibao akiwa katika muonekano huo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni